Chuo Kikuu cha St. Joseph Tawi La Arusha chafungwa kwa muda Usiojulikana

Mr me 0 comments



Uongozi wa Chuo Kikuu cha St. Joseph tawi la Arusha umekifunga chuo hicho kwa muda usiojulikana baada ya wanafunzi kufanya vurugu chuoni hapo.

Inaelezwa kuwa, wanafunzi wa chuo hicho wamekuwa katika hali ya wasiwasi wakihofia chuo chao kufungwa na serikali kama kilivyofungwa St. Joseph tawi la Songea 


Wanafunzi wote wameamriwa kuondoka chuoni na wametakiwa kusoma magazeti au kutembelea tovuti ya chuo hicho ili kujua hatima yao.
UNAWEZA KUWA MSHINDI WA SIMU MPYA YA I-PHONE 6 KWA KUBONYEZA TANGAZO HAPO CHINI...JIUNGE KWENYE SHINDANO HARAKA BADO HUJACHELEWA...BOFYA TANGAZO NA USHINDE 



Google+ Pinterest

0 Response to "Chuo Kikuu cha St. Joseph Tawi La Arusha chafungwa kwa muda Usiojulikana"

  • Commented politely and wisely in accordance with the content.
  • Comments are not needed by other readers [spam] will be removed immediately.
  • If the article entitled "Chuo Kikuu cha St. Joseph Tawi La Arusha chafungwa kwa muda Usiojulikana" is useful, share to social networks.
Code Conversion