Mtoto mwenye umri wa miaka 3 na miezi 4 Mariam Deogratius mwanafunzi wa shule ya awali ya Makoko iliyopo katika Manispaa ya Mji wa Musoma mkoani Mara, amebakwa kisha kunyongwa hadi kufa na mtu asiyejulikana Usiku wa kuamkia leo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara kamishna msaidizi Philllip Kalang amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa Jeshi la Polisi linafanya Msako kuhakikisha Mhalifu anapatikana.
UNAWEZA KUWA MSHINDI WA SIMU MPYA YA I-PHONE 6 KWA KUBONYEZA TANGAZO HAPO CHINI...JIUNGE KWENYE SHINDANO HARAKA BADO HUJACHELEWA...BOFYA TANGAZO NA USHINDE
0 Response to "Mtoto wa Miaka Mitatu Abakwa Na Kunyongwa Hadi Kufa"