Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kupata ajali jana jioni.
Taarifa za awali zimeeleza kuwa Dk. Tulia alipata ajali hiyo baada ya gari dogo kugonga gari alilokuwa akisafiria katika eneo la Kiwira jijini Mbeya.
Taarifa zinasema hakuna kifo kilichotokea kutokana na ajali hiyo.
UNAWEZA KUWA MSHINDI WA SIMU MPYA YA I-PHONE 6 KWA KUBONYEZA TANGAZO HAPO CHINI...JIUNGE KWENYE SHINDANO HARAKA BADO HUJACHELEWA...BOFYA TANGAZO NA USHINDE
0 Response to "Naibu Spika Dk. Tulia Ackson Anusurika Kifo Baada Ya Kupata Ajali"