Mume kakutwa kitandani na Mama yake Mzazi, kilichofuata baada ya hapo…(Hekaheka +AUDIO)

Mr me 0 comments





Kwenye Hekaheka ya Clouds fm leo feb 22 2016 stori inatokea Tabata Dar, Mume kakutwa na Mama yake Mzazi kitandani wakiwa na nusu uchi.


Geah Habib alipata time ya kuhoji mkasa mzima ulivyotokea, hapa mke anasimulia ‘mimi nilikuja kutokea Ilala, nikawakuta wapangaji wenzangu wakinisubiri wanipe habari, mimi nikafungua pazia nikamkuta mama na mwana wakiwa kwenye kitanda kimoja wakiwa nusu wazi ‘

‘mimi sikuwa na lakusema zaidi ya kuwasalimia na kutoka kumshtua mama mdogo, baada ya wao kutuona mama mkwe akaanza kujisogeza pembeni ya kitanda na kuzugazuga‘

‘wapangaji wakaniambia walikuwa wananitafuta kwasasabu huyu mama huwa anakuja na akija hataki kuonekana na watu, wanakaa ndani ikifika jioni anamchukua mwanaye wanaenda kula na wanalala hadi asubuhi ‘

Unaweza kuisikiliza full stori kwenye hii sauti hapa chini….



GUSA HAPA CHINI KUWA MSHINDI

Google+ Pinterest

0 Response to "Mume kakutwa kitandani na Mama yake Mzazi, kilichofuata baada ya hapo…(Hekaheka +AUDIO)"

  • Commented politely and wisely in accordance with the content.
  • Comments are not needed by other readers [spam] will be removed immediately.
  • If the article entitled "Mume kakutwa kitandani na Mama yake Mzazi, kilichofuata baada ya hapo…(Hekaheka +AUDIO)" is useful, share to social networks.
Code Conversion