Man United walicheza usiku wa February 22 FA Cup dhidi ya Shrewsbury, video ya magoli hii

Mr me 0 comments





Baada ya Jumapili ya February 21 kuchezwa michezo mitatu ya Kombe la FA na kushuhudia Chelsea ikiiondoa Man City kwa jumla ya goli 5-1, usiku wa February 22 klabu ya Man United ilishuka dimbani kuchuana na klabu ya Shrewsbury Town katika mchezo wao wa Kombe la FA.



Man United ambao walikuwa ugenini waliibuka na ushindi wa goli 3-0, magoli ya Man United yalianza kufungwa dakika ya 37 na Chris Smalling, kabla ya dakika nane mbele kiungo wa kimataifa wa Hispania Juan Mata kupachika goli la pili kwa kupiga mpira wa faulo kifundi na kutinga wavuni na dakika ya 71 Jesse Lingard akahitimisha kwa kufunga goli la tatu. 

Mtu wangu wa nguvu kama ulikosa kutazama mechi hiyo hii ndio video ya magoli yote ya mchezo

GUSA HAPA CHINI KUWA MSHINDI
Google+ Pinterest

0 Response to "Man United walicheza usiku wa February 22 FA Cup dhidi ya Shrewsbury, video ya magoli hii"

  • Commented politely and wisely in accordance with the content.
  • Comments are not needed by other readers [spam] will be removed immediately.
  • If the article entitled "Man United walicheza usiku wa February 22 FA Cup dhidi ya Shrewsbury, video ya magoli hii" is useful, share to social networks.
Code Conversion