CCM Watuma Salamu za Pongezi Kwa Yoweri Museveni Kwa kushinda urais

Mr me 0 comments

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepongeza Chama cha National Resistance Movement (NRM) cha nchini Uganda kwa ushindi katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Februari 18.



Kutokana na ushindi huo CCM inampongeza Rais mteule, Yoweri Museveni ambaye ndiye mwenyekiti wa NRM.


Taarifa iliyotolewa jana na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Umma wa CCM, Daniel Chongolo imeeleza kuwa wamefuatilia kwa ukaribu mchakato wa uchaguzi huo na walikuwa na imani kwamba NRM itaibuka mshindi dhidi ya waliokuwa wagombea wengine saba wa urais.

GUSA HAPA CHINI KUWA MSHINDI

Google+ Pinterest

0 Response to "CCM Watuma Salamu za Pongezi Kwa Yoweri Museveni Kwa kushinda urais"

  • Commented politely and wisely in accordance with the content.
  • Comments are not needed by other readers [spam] will be removed immediately.
  • If the article entitled "CCM Watuma Salamu za Pongezi Kwa Yoweri Museveni Kwa kushinda urais" is useful, share to social networks.
Code Conversion